Historia · Darasa la Tatu · Somo la 1
Mwongozo kamili wa somo katika mfumo wa SCEPT, wenye picha na maelekezo ya hatua kwa hatua kwa mwalimu.
Muktadha wa kujifunza: Wanafamilia, walezi, picha au michoro ya familia, mazingira ya nyumbani na majukumu ya kila siku.
Umahiri: Mwanafunzi aweze kutambua wanafamilia, kueleza uhusiano wao, kutofautisha vizazi na kueleza jukumu la kila mmoja.
Swali elekezi: Ni nani wanafamilia wangu, tuna uhusiano gani, na wana majukumu gani katika kutunzana na kutunza mazingira ya nyumbani?
Jiandikishe ili upate mafunzo, zoezi la tafakari na nafasi ya kuomba msaada.